Harmonize – “Ushamba Lyrics”
STREAM/DOWNLOAD MP3
LYRICS
Kondeboy
Weeeeeeeee
Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Verse 1
Pesa ya kulipa gesti unayo eeeh
Nyumbani familia inapiga miyayo eeeh
mmh yanafurahisha ufanyayo eeeh
Huo ni ushamba
Inaboa kudadadeki, dereva wa Uber hataki kuova teki
Eti kisa pesa haiongezeki
Eeeh huo ni ushamba
Yupo kitandani kajilegeza eeh
Mi nimeshapaka vya kuteleza eeh
Eti bebi leo simba wanacheza
Eeeh huo ni Ushamba
Husband material kutwa, unalike picha za makalio
Vya wenzako usijipe matamanio
Eeh huo ni ushamba
Ashura wa mbagala
Huna Pakula pakulala,
Komenti ndefu picha za kajala
Huo tunaita eeeh
Huo ni ushamba
Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Verse 2
Mmmh malejendi si wamerudisha vita
Wanahofia eti jeshi anawapita
Bila sababu wananikunjia ndita
Eeh huo ni ushamba
Limechoka acha nilikalagaze
Halina meno ilo simba zeee
Likila demu lazima litangaze
Huo tunaita
Eeeh huo ni ushamba
Hivi dunia ndo ipo kikomo eeh
Maana hadi waganga wanapiga promo
Hadi insta eeh wana page za kujipigia domo
Eeeh huo ni ushamba
Amepanga chumba huko vingunguti
Yupo mbezi kwa demu pesa hatafuti
Mmh vipi akikupiga kibuti
Eeeh huo ni ushamba aaah
Konda wa daladala
Umenipitisha bahati mbaya nililala
Unataka nilipe tena ni busara
Eeeh huo ni ushamba
Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh
Huo ni ushambaa
Verse 3
Kaja na vumbi uso umefubaa
Anadai kapaka poda eeh
Kaniomba nauli ya Uber
Eeeh huo ni ushamba
Yule namuona kapanda boda
Vitu vingine haviji na ubongo eeh
Punguzeni sifa wana sio mchongo eeh
Demu humjui unampakia mkongoo
Eeeh huoni ushambaa
Yeye ndo kalewa kuliko wote
Anaimba nakucheza ngoma zote
Wakati wakulipa bili sina chochote
Eeh huo ni ushambaa
Meno yote nje anachekelea
Ahsante bebi nimepokea
Hasa mbona haujatuma na yakutoleaa
Eeeh huo ni ushambaa
Kumepambazuka alfajiri
Tupo club wana anasema subiri
Yani kisa yeye ndo mwenye usafiri aah
Eeeh huoni ushambaa
Tunaishi kwa nyumba ya kupanga
Mwenzetu unatuletea muganga
Unataka wote tuonekane wangaa
Huo tunaita
Eeeh huo ni ushambaa
Chorus
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni wee
Huo ni ushambaa huo ni eeeeh
Huo ni ushambaa.
Hehehehee
Kasa kama kama tumekutana mchana, unasema haujala
Heheheee asubuhi si ungeniomba mswaki wewee hehehe hahaha hahahahah
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa huo ni
Huo ni ushambaa
Morento
They call me kondeboy No.1 Jeshiiiiiii
Harmonize – “Ushamba Lyrics“
The post [Lyrics] Harmonize – “Ushamba” appeared first on tooXclusive.
0 Comments:
Post a Comment